leo tunaangalia wenzetu wlivyo endelea katika swala zima la techinologia baada ya kutengeneza kifaa ambacho kinaweza kufanya kazi kama binadamu au zaidi ya binaadamu
Sunday, 26 April 2015
NYIMBO 10 BORA ZA CHAT KUBWA DUNIANI.....
PICHA 5 ZA SIKU ZA NYUMBA ZA KISASA.........
LIGI KUU INAENDELEA LEO NCHINI ENGLAND............
ligi kuu inaendele leo nchini england baadhi ya michezo itapigwa lakini ulimwengu mzima macho yao yote yatakua kwenye uwanja wa emirates uwanja wa klabu ya arsenal ambao watawakalibisha team ya chelsea ambao ndio wanaoongoza ligi. je nani atakua mbabe kati ya mourinho au wenger?
SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MUUNGANO........
maadhimisho ya miaka 51 ya muungano kati tanganyika na zanzibar inaendelea katika uwanja wa uhuru je miaka yote hii mtanzania una kitu gani cha kujivunia kutokana na muungano huu?
MAELFU YA WATU WALALA NJE NEPAL..........
Wakazi wa mji wa kathmandu walisema kuwa hawangerudi manyumbani mwao kutokana na hofu ya kutokea kwa mitetemeko zaidi.Serikali
ya Nepal inasema inaamini kuwa takriban watu 1500 wameaga dunia lakini
idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka wakati makundi ya uokoaji yanapotafuta
kwenye vifusi vya majengo yaliyoporomoka.Hali mbaya ya hewa inalikumba eneo hilo na watoa huduma za dharura wanasema kuwa huenda ikavuruga jitihada za uokoaji.
Wednesday, 22 April 2015
REAL MADRID YAUA JUVENTUS PIA YA FUZU ......
javier harnandez chicharito ndio aliyepeleka msiba kwa watoto wa diego semion baada ya kumalizia pasi safi kutoka kwa mchezaji bora duniani cristano ronaldo na pia juventus imefanikiwa kufuzu robo fainal baada ya kudroo na monaco (agg 1-0). timu izi zitajumuika na wenzao barcelona na bayern munich kwenye robo fainal..
Subscribe to:
Posts (Atom)